LOGO

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiGtZaSB-j0SBGLsXTKCNtU8SqrUucOvQ4-CflVW4Y4ImFsgh0TxhEP7lk12fbYLGK-A4FcdMnAbaKfYDZ7jW7dyh3i4Ra2ItipZF_brTFePw1dD8sB1A-bceNxJXHBjmMuqVDJZR6RnCU/s1600/Simba.jpg
Katika kuelekea mchezo wa mtani jembe 2, Simba SC kesho wanataraji kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mtibwa sugar katika uwanja wa Azam complex uliopo Chamanzi jijini Dar es salaam.

Simba SC wanataraji kucheza dhidi ya Yanga katika mchezo wa mtani jembe 2 hapo desemba 13 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Simba SC jana walitoa sare ya bila kufungana na Express ambao leo wamefungwa goli 1-0 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1WqKdpXMZjKtVn4VWI6Nkwg1G7KEWQI3gEkgekRycGnLQgdK-REUTMX3TbbjwUDx_oNy7fsf6V7Ro04Mj6OAUcGQ1hwxhzzQdJJdIW2PxQz6FlzxrGJd-3E0Y4hmtl27DZZT3PEM0a0o/s1600/HMB_3985.JPG
Wakati Simba SC wakicheza na Mtibwa Sugar, Coastal union watakuwa katika uwanja wa Mkwakwani kuwakabili AFC ya Arusha katika maadhimisho ya kuanzishwa kwa Coastal union ambao wamefanikiwa kutwa ubingwa wa anzania bara mwaka 1988.

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top