Mshambuliaji toka Uganda anaekipiga kwa
mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu ya anzia bara Hamisi Kiiza 'Diego'
ameiwezesha yanga kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Express ya
Uganda.
Kiiza alitokea benchi kuchukuwa nafasi ya Countinho na katika dakika ya mwisho wa mchezo aliifungia Yanga goli pekee la ushindi katika mchezo huo wa kirafiki uliochezwa katika uwanja wa Taifa jijni Dar es salaam.

0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni