WAKATI
Mechi za Makundi kuwania kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika
huko Morocco Mwakani, AFCON 2015, zikitarajiwa kuanza Ijumaa Septemba 5,
Ivory Coast huenda ikatupwa nje ya Mashindano hayo ikiwa itagoma
kucheza na Sierra Leone ambayo imekumbwa na Mlipuko wa Gonjwa la Ebola.
Serikali ya Ivory Coast imesema haitaruhusu Mechi hiyo kuchezwa Nchini kwao Mjini Abidjan lakini pia Shirikisho la Soka la Ivory Coast halijataja Nchi ipi wanaweza kwenda kucheza Mechi hiyo kufuatia amri ya Serikali yao.
Kwa mujibu wa Kanuni za CAF, Nchi ambayo itagomea kucheza Mechi basi itapoteza ushindi na vile vile kutupwa nje ya Mashindano husika.
Hadi sasa inasadikiwa Watu 1900 wamekufa kwa Ugonjwa wa Ebola tangu ulipuke huko Sierra Leone, Guinea na Liberia, na Nchi nyingi Duniani zimeziwekwea vikwazo Nchi hizo.
Chama cha Soka cha Sierra Leone, SLFA, kimesema kinaendelea na matayarisho kwa ajili ya Mechi hiyo na Ivory Coast wakiwa na Kikosi cha Wachezaji 20 ambao wote wanacheza Soka lao nje ya Sierra Leone hasa Barani Ulaya.
Mechi inayofuata kwa Sierra Leone ilikuwa ni ya Nyumbani kwao dhidi ya Congo DR hapo Jumatano Septemba 10 na Mechi hii kulazimika kupangwa kuchezwa Accra, Ghana lakini sasa itafanyika huko Lubumbashi, Congo DR.
AFCON 2015
RATIBA
MAKUNDI
**Saa za Bongo
Ijumaa Septemba 5
2000 Sudan v South Africa [KUNDI A]
2200 Guinea v Togo [KUNDI E]
2300 Senegal v Egypt [KUNDI G]
Jumamosi Septemba 5
1500 Congo, DR v Cameroon [KUNDI D]
1600 Ethiopia v Algeria [KUNDI B]
1600 Zambia v Mozambique [KUNDI F]
1830 Niger v Cape Verde [KUNDI F]
1900 Nigeria v Rwanda [KUNDI A]
1900 Burkina Faso v Lesotho [KUNDI C]
1900 Gabon v Angola [KUNDI C]
1900 Ghana v Uganda [KUNDI E]
2000 Ivory Coast v Sierra Leone [KUNDI D]
2200 Mali v Malawi [KUNDI B]
2215 Tunisia v Botswana [KUNDI G]
Jumatano Septemba 10
3:00 Rwanda v Sudan [KUNDI A]
15:30 Malawi v Ethiopia [KUNDI B]
17:00 Cameroon v Ivory Coast [KUNDI D]
17:00 Sierra Leone v Congo DR [KUNDI D]
18:00 Mozambique v Niger [KUNDI F]
18:00 Cape Verde v Zambia [KUNDI F]
19:00 Angola v Burkina Faso [KUNDI C]
19:00 Togo v Ghana [KUNDI E]
19:30 Uganda v Guinea [KUNDI E]
20:00 Lesotho v Gabon [KUNDI C]
20:00 Botswana v Senegal [KUNDI G]
21:00 Egypt v Tunisia [KUNDI G]
21:00 South Africa v Nigeria [KUNDI A]
22:30 Algeria v Mali [KUNDI B]
AFCON 2015
MAKUNDI:
KUNDI A
-Nigeria
-South Africa
-Sudan
-Congo
KUNDI B
-Mali
-Algeria
-Ethiopia
Malawi
KUNDI C
-Burkina Faso
-Angola
-Gabon
-Lesotho
KUNDI D
-Ivory Coast
-Cameroun
-Congo DR
-Sierra Leone
KUNDI E
-Ghana
-Togo
-Guinea
Mshindi Uganda/Mauritania
KUNDI F
-Zambia
-Cape Verde
-Niger
-Msumbiji
KUNDI G
-Tunisia
-Egypt
-Senegal
-Botswana

0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni