"Young Africans inawashukuru sana
wapenzi washabiki na wanachama wake waliojitokeza kwa wingi jana katika
mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC.
Morali ile ya jana iendelee pia katika
michezo inayofuata tukianza na mechi ya Ufunguzi wa Ligi Kuu ya Vodacom
dhidi ya Mtibwa Sugar siku ya jumamosi katika Uwanja wa Jamhuri mjini
Morogoro.
Daima Mbele Nyuma Mwiko..."
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni