LOGO

RATIBA YA LEO LIGI YA MABINGWA ULAYA KWA MICHEZO YA KWANZA.

Leo tarehe 16 Septemba 2014 saa 3:45 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Ndiyo siku amabayo michuano ya ligi ya mabingwa ulaya inaanza rasmi ikianzia kwa hatua ya makundi.

KUNDI A
Juvsentus VS Malmö FF
Olympiakos VS Atlético Madrid
KUNDI B
Liverpool VS Ludogorets Razgrad
Real Madrid VS FC Basel
KUNDI C
Benfica VS Zenit St Petersburg
Monaco VS Bayer 04 Levserkusen
KUNDI D
Borussia Dortmund VS Arsenal
Galatasaray VS RSC Anderlecht

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top