HATIMAYE
Manchester United imemtambulisha rasmi mchezaji wao mpya waliomnunua kutoka Real Madrid Angel di Maria kwa dau la rekodi
Uingereza la Pauni Milioni 59.7 usiku huu kutoka Real Madrid.
Winga
huyo wa Argentina amesaini Mkataba wa miaka mitano Old Trafford ambao
utamfanya apate mshahara wa Pauni Milioni 6.5 kwa mwaka baada ya kodi.
Hiyo itamfanya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 awe nyuma ya Nahodha wa United, Wayne Rooney kwa kulipwa mshahara mkubwa.
Hiyo itamfanya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 awe nyuma ya Nahodha wa United, Wayne Rooney kwa kulipwa mshahara mkubwa.
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni