Manchester United wamekumbwa na aibu ya kuchezea magoli manne kwa kwa bila dhidi ya timu ya daraja la chini ya MK Dons muda mfupi baada ya kumsajili Angel Di Maria kutoka Real Madrid kwa dau nono Man utd na hatimaye kutupwa nje ya Capital One Cup kwenye Raundi ya Pili tu.wakichezesha Kikosi tofauti kabisa, huku Kipa David De Gea akiwa ndie pekee kutoka Timu iliyocheza Mechi mbili za Ligi zilizopita,
Hadi Mapumziko, MK Dons walikuwa mbele kwa Bao 1-0 alilofunga Grigg ambaye Kipindi cha Pili alipiga Bao jingine na Afobe kufunga nyingine mbili.
VIKOSI:
MK Dons: Martin, Baldock, Kay, McFadzean, Lewington, Carruthers, Potter, Reeves, Alli, Bowditch, Grigg.
Akiba: Green, Spence, Randall, McLoughlin, Powell, Hitchcock, Afobe.
Goals:Grigg 25, 63, Afobe 70, 83
Man United: De Gea, Vermijl, Evans, Michael Keane, James, Janko, Anderson, Kagawa, Powell, Welbeck, Hernandez.
Akiba: Januzaj, Zaha, Amos, Wilson, Pereira, McNair, Thorpe.
Referee: Stuart Attwell (Warwickshire)
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni