Klabu ya Simba inatakiwa kubaki na beki mmoja wakimataifa ili kufikisha wachezaji 5 wa kimataifa kabla dirisha la usajili kufungwa
la ligi Kuu
Bara ambapo, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri
ameachiwa zigo la kuchagua beki yupi abaki kikosini mwaka kati ya Donald Musoti
na Butoyi Hussein raia wa Burundi.
Musoti tayari amekuwa akijifua na Simba
lakini Butoyi kutoka Telecom ya Djibout.
Lakini uongozi wa Simba umeelezwa kumuachia
Patrick Phiri achukue uamuzi wa mwisho.
Simba sasa ina wachezaji sita wa kigeni,
wakati wanatakiwa watano tu.
Na nafasi moja wanatakiwa wawanie kati ya
Musoti na Butoyi ambaye ni raia wa Burundi.
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni