NAHODHA
wa Arsenal, Mikel Arteta huenda akakaa nje ya uwanja kwa wiki mbili baada
ya kuumia kifundo cha mguu katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa Ligi ya
Mabingwa Ulaya dhidi ya Besiktas.Hivyo atakosa mechi mbili zijazo za klabu yake mechi hizo ni dhidi ya Everton na Besktas mechi ya marudiano kuwania kufuzu kupangwa makundi UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Nyota
huyo wa Arsenal alitolewa nje dakika ya 50 kwenye Uwanja wa Olympic
Ataturk baada ya kuumizwa na mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Demba
Ba.
Arsenal
pia itamkosa nyota wake mwingine, Aaron Ramsey katika mchezo wa
marudiano na timu hiyo ya Uturuki, baada ya kuonyeshwa kadi ya pili
ya nano kipindi cha kwanza dhidi ya Beskitas.
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni