Klabu ya Manchester United ya England leo imtangaza kukamilisha kwa usajili wa Marcos Rojo kutoka Sporting Lisbon kwa ada ya pound milion 16 na kumkabidhi jezi namba 5 iliyokuwa ikivaliwa na mkongwe wa timu hiyo Rio Ferdinand aliendoka na kujiunga QPRhuku ikimtoa winger wake Louis Nani kwa mkopo kwenda Sporting Lisbon.
Rojo amesaign mkataba wa miaka 5 na mashetani wekundu hao wa Manchester United
Rojo amesema kujiunga na Manchester United ni kama ndoto ambayo imetimia na lihi kuu ya nchini Uingereza ni ligi bora duniani ambayo kila mmoja angependa kuchezea
Bado ni kijana mdogo na ningependa kujifunza na kucheza chini ya kocha na mwenye uzoefu na mtaalamu
Nimejiunga na man utd kufanya kazi kubwa na kushinda mataji nikiwa na wachezaji wezangu.
MARCOS ROJO
Born: March 20, 1990 (Age 24)
Nationality: Argentinian (24 caps, 1 goal)
Position: Centre back/left back
Clubs: Estudiantes (2008-2011)
Spartak Moscow (2011-2012)
Sporting Lisbon (2012-2014)
Manchester United (2014-)
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni