LOGO


DROO ya Makundi ya UEFA CHAMPIONZ LIGI imefanyika huko Monaco hivi sasa na Makundi 8 ya Timu 4 kila moja yamepangwa ambapo kuanzia Septemba 16 Mechi zake za Mtindo wa Ligi wa Nyumbani na Ugenini zitachezwa.
Timu mbili toka kila Kundi ndizo zitasonga Raundi ya Mtoano ya Timu 16 wakati Timu inayomaliza Nafasi ya 3 itatupwa EUROPA LIGI.
Kimtazamo tu Kundi gumu ni Kundi E lenye Timu za Bayern Munich, Man City, CSKA Moscow na AS Roma.
Liverpool, ambao hii ni mara yao kwanza kushiriki tangu Mwaka 2009/10, wapo Kundi B pamoja na Mabingwa Watetezi Real Madrid, FC Basel na Ludogorets.
wakat hohuo mchezaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ulaya kwa mwaka 2013-2014 mjini Moscow ufaransa
DROO YA MAKUNDI:
KUNDI A:
-Atletico Madrid
-Juventus
-Olympiacos
-Malmo 
KUNDI B:
-Real Madrid
-Basel
-Liverpool
-Ludogorets 
KUNDI C:
-Benfica
-Zenit
-Bayer Leverkusen
-AS Monaco
KUNDI D:
-Arsenal
-Borussia Dortmund
-Galatasaray
-Anderlecht
KUNDI E:
-Bayern Munich
-Manchester City
-CSKA Moscow
-AS Roma
KUNDI F:
-FC Barcelona
-PSG
-Ajax
-Apoel
KUNDI G:
-Chelsea
-Schalke
-Sporting Lisbon
-Maribor
KUNDI H:
-FC Porto
-Shakhtar Donetsk
-Athletic Bilbao
-Bate Borisov

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top