HATIMATE OKWI ATUA TENA SIMBA AKITOKEA YANGA ASAINI MIAKA MIWILI MSIMBAZI Yametimia, hatimaye Emmanuel Okwi amerejea katika kikosi chake cha zamani cha Simba. Okwi rasmi anasaini leo kujiunga na Simba baada ya kuelewana na uongozi wa klabu hiyo. Mganda huyo amechukua uamuzi wa kusaini kuichezea Simba baada ya Yanga kumtema. bin zubeiry
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni