LOGO

 
Usajili kamili wa Simba msimu huu ni
Makipa: Ivo Mapunda na Hussein Shariff ‘Casillas’.

Mabeki: Joseph Owino, Donald Mosoti, Abdi Banda, Issa Rashid ‘Baba Ubaya’, Said Nassoro Masoud ‘Chollo’, Joram Mgeveke na William Lucian ‘Gallas’,
Viungo: Pierre Kwizera, Jonas Mkude, Shaaban Kisiga, Said Ndemla, Amri Kiemba, Hassan Isihaka na Abdallah Seseme.
Washambuliaji: Amissi Tambwe, Raphael Kiongera, Haruni Chanongo, Awadh Juma, Uhuru Seleman, Elius Maguli, Ramadhan Singano ‘Messi’ na Hussein Twaha Ibrahim.
Simba pia imepeleka majina manne ya usajili wa wachezaji wao waliowapandisha kutoka U-20 ambao wamefikisha idadi ya wachezaji 28 ambao ni kipa Manyika Peter, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’, Miraji Adam na Ibrahim Hajibu Migomba.

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top