APR na EL MERREIKH zimefanikiwa kutinga Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati,
Kombe la Kagame baada ya kushinda mechi zao za nusu final zilizochezwa leo kwenye uwanja wa Amahoro jijini Kigali Rwanda.
Mechi ya kwanza ya nusu finali ya Kagame Cup ilihusisha timu ya El Merreikh ya Sudani na KCCA ya Uganda ambapo mechi hiyo iliisha kwa sare ya 2-2 ndani ya dakika 120 ambapo magoli ya El Merreikh yalifungwa na Mohammed Traore dakika ya 32 na Ragi Abdallah dakika ya 69 huku KCCA yakifungwa na Tom Masiko dakika ya 32 na Brian Umony dakika ya 82.
Shujaa wa mchezo huo ni mlinda
mlando huyo wa U20 ya Uganda ‘Thw Kobs’, ameiwezesha Merreikh kwenda
Fainali ya Kagame kwa ushindi wa penalti 3-0,
Magoola aliokoa penalti za Brian Umony na Brian Majwega wakati ya Tom Masiko iliota mbawa-na Alan Wanga alipoteza penalti upande wa Merreikh. Penalti za El Merreikh zilifungwa na Magoola,Ballah Gabril na Faisal Hussein.

Mechi nyingine ya nusu finali iliwakutanisha wenyeji kati ya APR na POLISI ambapo APR ilishindA kwa changamoto ya mikwaju ya penalt baada ya dakika 120 timu hizo kutoka suluhu ya bila kufungana penalty 4-2
Kwa matokeo hayo, APR itakutana na El Merreikh ya Sudan katika Fainali Jumapili Uwanja wa Amahoro mjini hapa.
Mikwaju ya penalty ya APR ilitiwa kimiani na Nshutinamagara Ismail, Mukunzi Yannick, Patrick Sibomana na Mugiraneza Baptiste, huku Eric Rutanga akikosa.
Mikwaju ya penalty ya APR ilitiwa kimiani na Nshutinamagara Ismail, Mukunzi Yannick, Patrick Sibomana na Mugiraneza Baptiste, huku Eric Rutanga akikosa.
Waliopata penalti za Polisi ni Jerome Sina na Moussa Habimana wakati Tuyisenge Jacqueline na Peter Kagabo.
Polisi haikuweza kufua dafu kwa mikwaju ya penalti mbele ya APR, licha ya kuingiza kipa inayemuamini katika uchezaji michomo hiyo, Ntaribi Steven aliyekwenda kuchukua nafasi ya Marcelo Nzarora dakika mbili kabla ya filimbi ya mwisho.
Katika mchezo ulioangulia, Merreikh imekwenda Fainali kwa ushindi wa penalti 3-0, kufuatia sare ya mabao 2-2 ndani ya dakika 120.

0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni