LOGO

chan 
Mtoto wa star wa filamu mkubwa duniani Jackie Chan ‘Jaycee Chan’ ambaye pia ni muigizaji ameripotiwa kukamatwa na gramu 100 za marijuana kwenye nyumba yake. Kitendo hichi kimekuja kama mshtuko mkubwa kwa baba yake ambaye aliwahi kuwa balozi wa kampeni ya kupinga uuzaji,usambazaji na matumizi ya dawa za kulevya kwa vijana mwaka 2009.
Jackie amesema “hii ni aibu kubwa kwake kama mtu wa watu na baba mzazi, Jaycee amenivunja moyo sana, nimeshindwa kumwelimisha mwanangu na kwa niaba ya jina la mwanangu naomba kumwombea msamaha kwa uma” alisema Jackie Chan.

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top