
Timu mbili tayari zimesha wasili ndani ya Berlin kwa ajili ya kipute cha kesho. Wachezaji wa Barcelona wafika ndani ya uniform ya full jeans. Juventus wamewasili na uniform ya full suti. Kumbuka mecbi hii itakujia moja kwa moja kupitia Super Sport ya Dstv


















0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni