
Klabu ya Liverpool leo imefanikiwa kucheza mechi 11 za ligi kuu England bila kupoteza baada ya kuinyuka Manchester City goli 2-1 katika uwanja Anfield.
Liverpool ilikuwa ya kwanza kuona nyavu za Man city katika dakika ya 11 kupitia kwa nahodha Jordan Henderson baada ya kupiga mpira umali wa mita 20
Dakika ya 26 tu ya mchezo Eden Dzeko aliisawazishia timu ya Man City na kufanya mpaka mapumziko timu hizo kuwa droo ya goli 1-1
Kipindi chaa pili Andrei Coutinho alihaakikishia Liverpool ushindi baada ya kuzamisha goli la pili katika dakika ya 75 kwa shuti la umbali wa mita 20. Man city walijitahidi kusawazisha lakini kukosa umakini kwa washambuliaji wake kulisababisha washindwe kurudisha magoli hayo.
Kwa matokeo hayo liverpool imeshika nafasi ya Tano kwa kujikusanyia pointi 48 huku Man city wakibaki na point zao 55 point 5 nyuma ya Chelsea yenye point 60 na mchezo moja mkononi

VIKOSI
Liverpool (3-4-3):
Mignolet 6.5, Can 7, Skrtel 7, Lovren 6.5, Markovic 6.5 (Sturridge 76),
Henderson 8.5, Allen 8.5, Moreno 6.5 (Toure 82), Coutinho 9.5, Sterling
7.5, Lallana 8
Manager: Rodgers 8
Goals: Henderson 11, Coutinho 75
Man City (4-1-3-2): Hart
6.5, Zabaleta 7.5, Kompany 5.5, Mangala 5, Kolarov 5.5, Nasri 6
(Lampard 83), Toure 5.5, Fernandinho 6.5 (Bony 78), Silva 6.5, Aguero
7.5, Dzeko 5.5 (Milner 58).
Manager: Manuel Pellegrini 5.5
Goal: Dzeko 26
Referee: Mark Clattenburg (Tyne & Wear)
Attendance: 44,590waspish best and, as a result, City rocked a little.


0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni