LOGO

 
Kiungo wazamani wa Simba SC na timu ya Taifa, Henry Joseph Shindika ameiwezesha timu yake ya Mtibwa Sugar kuvuna pointi zote tatu mbel ya Simba SC kaika michuano ya kombe la mapinduzi iliyoanza hii leo.
Katika mchezo huo ulioanza majira ya saa mbili katika uwanja wa Amani uliopo visiwani Zanzibar ulioshuhudiwa na kocha mpya wa Simba SC sambamba na makocha wa yanga, ulimalizika kwa Mtibwa sugar kuendeleza ubabe kwa Simba SC kwa kuwachapa goli 1-0.
Mchezo huo ulianza kwa kasi huku timu zote mbili zikishambuliana kwa zamu lakini mashambulizi ya Mtibwa sugar ndiyo yaliyokuwa yanaoneakana kuwa na malengo zaidi.

MATOKE MENGINE
2015-01-01
FTJKU 2 : 0Mafunzo
FTPolisi 1 : 0Shaba
FTSIMBA SC 0 : 1Mtibwa sugar

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top