LOGO

 
Bao la Dakika ya 42 la Danny Mrwanda limewapa Yanga ushindi wa Bao 1-0 huko Uwanja wa Jamhuri Mini Morogoro walipocheza na Polisi Moro katika Mechi ya VPL, Ligi Kuu Vodacom.
Ushindi huu umeipaisha Yanga hadi Nafasi ya Pili wakiwa Pointi 2 nyuma ya Mabingwa Watetezi Azam FC huko wote wakiwa wamecheza Mechi 10 kila mmoja.
Ligi itaendelea Jumapili kwa Mechi 6 na Bigi Mechi ni Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam kati ya Mabingwa Azam FC na Simba.
Mechi nyingine za Jumapili ni pamoja na ile ya Kagera Sugar na Ndanda FC ambayo itachezwa Uwanja wa CCM Kirumba, Jijini Mwanza kutokana na Kairaba Stadium ya huko Bikoba kufanyiwa ukarabati.
RATIBA:
Jumapili Januari 25
Azam FC v Simba
Kagera Sugar v Ndanda FC [CCM Kirumba, Mwanza]
Stand United v Coastal Union
Mbeya City v Tanzania Prisons
Ruvu Shooting v Mtibwa Sugar
JKT Ruvu v Mgambo JKT

MSIMAMO:

NA
TIMU
P
W
D
L
F
 A
 
GD
PTS
1
Azam FC
10
6
2
2
14
7
 
7
20
2
Yanga
10
5
3
2
12
7
 
5
18
3
Mtibwa Sugar
9
4
5
0
12
5
 
7
17
4
JKT Ruvu
11
5
2
4
11
10
 
1
17
5
Polisi Moro
12
3
6
3
9
9
 
0
15
6
Kagera Sugar
11
3
5
3
8
8
 
0
14
7
Coastal Union
10
3
4
3
9
8
 
1
13
8
Mgambo JKT
10
4
1
5
5
9
 
-4
13
9
Simba
9
2
6
1
9
7
 
2
12
10
Ruvu Shooting
11
3
3
5
5
8
 
-3
12
11
Mbeya City
9
3
2
4
4
6
 
-2
11
12
Stand United
11
2
5
4
7
13
 
-6
11
13
Ndanda FC
11
3
1
7
10
16
 
-6
10
14
Tanzania Prisons
10
1
5
4
6
8
 
-2
8

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top