LOGO

Guinea's players celebrate after Mohamed Yattara put them 1-0 up against Ivory Coast in Group DHII LEO huko Nuevo Estadio de Malabo, Mjini Malabo imechezwa Mechi ya kwanza ya Kundi D la Mashindano ya Mataifa ya Afrika, AFCON 2015, na Ivory Coast na Guinea kwenda Sare 1-1.
Guinea ndio walitangulia kufunga Dakika ya 36 kwa Bao la Mohamed Yattara na kuwa 1-0 mpaka Mapumziko.
Ivory Coast walipata pigo Dakika ya 58 baada ya Fowadi wao Gervinho kupewa Kadi Nyekundi na kutolewa nje baada ya kumshambulia Mpinzani bila ya Mpira kuwepo.
Licha ya upungufu huo, Ivory Coast walisawazisha katika Dakika ya 72 kwa Bao la Seydou Doumbia baada kupokea pasi kutoka kwa Bony.
Baadae Leo ipo Mechi nyingine ya Kundi D kati ya
VIKOSI:
Guinea (Mfumo 4-2-3-1): Naby Yattara; Sankoh, Fofana, Constant, Camara; Pogba, Issiaga; Keita, Traore, Conte; Mohamed Yattara
Cote d'Ivoire (Mfumo 4-2-3-1): Gbohouo; Aurier, Bertrand, Kolo Toure, Kanon; Yaya Toure, Tiote; Gervinho, Kalou, Die; Bony
REFA:Mehdi Abid Charef [Algeria]
AFCON 2015

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top