LOGO

RATIBA
Mechi zote kuanza Saa 4 Dakika 45 Usiku
Jumatano Novemba 5
KUNDI E
Bayern Munich v AS Roma          
Man City v CSKA             
KUNDI F
Ajax v Barcelona             
Paris Saint-Germain v Apoel Nicosia               
KUNDI G
NK Maribor v Chelsea                
Sporting Lisbon v Schalke          
KUNDI H
Athletic Bilbao v FC Porto          
Shakhtar Donetsk v BATE Borisov

UCL-2014-15-LOGOJUMATANO Usiku UEFA CHAMPIONZ LIGI itaendelea kwa Mechi za Makundi E hadi H na zipo Timu kadhaa ambazo zinaweza kutinga Raundi ya Mtoano ya Timu 16 huku zikiwa na Mechi mbili mkononi.
Bayern Munich, ambao waliicharaza AS Roma Bao 7-1 katika Mechi iliyopita iliyochezwa Jijini Rome, Italy, Bayern wakiitwanga tena AS Roma huko Allianz Arena Jijini Munich watafuzu kwenda Raundi ya Mtoano.
Timu nyingine ambazo zinaweza kutinga Raundi ya Mtoano ya Timu 16, pia wakiwa na Mechi 2 mkononi baada ya Mechi za Jumatano ni Chelsea, Barcelona na FC Porto.
Kutoka Kundi G, Chelsea wana nafasi ya kufuzu kuingia Raundi ya Mtoano ikiwa Jumatano watashinda Ugenini watakaporudiana na NK Maribor na wakati huo huo Sporting Lisbon kushindwa kuifunga Schalke.
Barcelona, ambao wako Kundi F, watapita ikiwa wataifunga Ajax huko Amsterdam ikiwa tu Apoel FC watashindwa kuifunga Paris Saint-Germain katika Mechi nyingine ya Kundi hili.
Nao FC Porto, wali Kundi H, watasonga wakiifunga Athletic Bilbao huko Spain na Shakhtar Donetsk v BATE Borisov kuwa sare.
UEFA CHAMPIONZ LIGI
MSIMAMO:
KUNDI E
KLABU
P
W
D
L
F
A
+/-
Pts
FC Bayern München
3
3
0
0
9
1
8
9
AS Roma
3
1
1
1
7
9
-2
4
Manchester City FC
3
0
2
1
3
4
-1
2
PFC CSKA                            
3
0
1
2
3
-8
-5
 1
KUNDI F
KLABU
P
W
D
L
F
A
+/-
Pts
Paris Saint-Germain
3
2
1
0
5
3
2
7
FC Barcelona
3
2
0
1
6
4
2
6
AFC Ajax
3
0
2
1
3
5
-2
2
APOEL FC                          
3
0
1
2
1
3
-2
 1
KUNDI G
KLABU
P
W
D
L
F
A
+/-
Pts
Chelsea
3
2
1
0
8
1
7
7
Schalke
3
1
2
0
6
5
1
5
NK Maribor
3
0
2
1
2
8
-6
2
Sporting Lisbon
3
0
1
2
4
6
-2
1
KUNDI H
KLABU
P
W
D
L
F
A
+/-
Pts
FC Porto
3
2
1
0
10
3
7
7
Shakhtar Donetsk
3
1
2
0
9
2
7
5
BATE Borisov
3
1
0
2
2
14
-12
3
Athletic Bilbao
3
0
1
2
2
4
-2
1

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top