PICHA VURUGU ZAZUKA KWENYE MCHEZO WA KUFUZU EURO 2016 KATI YA ITALY NA CROATIA NA KUSABABISHA MCHEZO KUSIMAMA KWA DAKIKA 10 KATIKA DIMBA LA SAN SIRO
Mashabiki waliohuzuria mchezo wa kufuzu Euro 2016 katika ya Italy na Croatia walisababisha vurugu kwa kutupa vitu vinavyotoa moto uwanjani na kusababisha refa wa mchezo huo kusimamisha mechi kwa dakika 10 katika kipindi cha pili ambapo mpaka dakika 90 timu hizo zilitoka sare ya goli 1-1.Magoli yalifungwa na Candreva katika dakika ya 11 kwa upande wa italy na kwa croatia ni Perisic katika dakika ya 15.
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni