Ligi ya klabu bingwa ulaya imeendelea tena leo jumanne kupigwa katika viwanja mbalimbali barani ulaya ambapo klabu ya man city ya nchini England Imeweza kuifunga Mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich magoli 3-2 ktika dimba la Etihadi katika mchezo huo tulishuhudia hat trick ya Mshambuliaji wa Argentina Sergio Aguero huku magoli ya Bayern Munich yakifungwa na Xabi Alonso na Robert Lewandowsky kwa ushindi huo umeiweka City katika Matumaini ya Kufuzu Hatua ya 16 bora kutokana kulingana point na CSKA MOSCOW ya Urusi.
VIKOSI VILIKUWA HIVI
Manchester City
(4-2-3-1): Hart 5; Sagna 5 (Zabaleta 68, 6), Kompany 5.5, Mangala 5,
Clichy 5.5; Fernando 6, Milner 6.5 (Jovetic 66, 6); Jesus Navas 6,
Lampard 7, Nasri 6.5; Aguero 8 (Demichelis 94).
Goal: Aguero 21 (pen), 85 and 90.
Manager: Manuel Pellegrini 6.
Bayern Munich
(4-3-3): Neuer 6.5; Rafinha 6, Benatia 4, Boateng 5.5, Bernat 6; Alonso
7; Hojbjerg 7, Rode 6.5 (Dante 25, 6.5); Robben 7.5, Lewandowski 7.5
(Shaqiri 84), Ribery 7 (Schweinsteiger 81).
Goals: Alonso 40, Lewandowski 45.
Manager: Pep Guardiola 6.5.
Referee: Pavel Kralovec (Czech Republic
MSIMAMO
MSIMAMO
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni