LOGO


Kikosi cha Simba...

Kikosi cha Stand United...

Kipa wa Stand United, John Mwenda, akidaivu kudaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba Amis Tambwe, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa leo jioni kwenye Uwanja wa tAIFA Jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare kwa kufungana bao 1-1. Picha kwa hisani ya Habari Mseto
 
MATOKEO YA MECHI NYINGINEZO ZA LIGI KUU ZILIZOPIGWA LEO NI :- 

SIMBA 1- STAND UNITED 1
PILISI MORO 1- KAGERA SUGAR 1
AZAM FC 0 - TANZANIA PRISONS 0
RUVU SHOTING 0 - MBEYA CITY 0
                  COASTAL UNION 2 - NDANDA FC1

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top