LOGO

Maswali mengi tuliyokuwa tukijiuliza juu ya msanii gani wa kimataifa atakae dondoka Dar kwa ajili ya finali za tamasha la Fiesta leo hii yamepata majibu.
 Akitangazwa kupitia kipindi cha XXL akiwepo Fetty na B12, watangazaji hao walihesabu mpaka kuanzia 10 mpaka 0 ilimradi tu kuwapa kiraruraru wasikilizaji wao na mwisho wa siku wakamtangaza msanii wa kimataifa T.I kutoka Marekani kuwa ndie atakaefanya makamuzi ndani ya Serengeti Fiesta 2014, itakayofanyika tarehe 18 October 2014 kwenye viwanja vya Leaders Club.

djfetty blog

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top