LOGO

DROO ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya CAPITAL ONE CUP 

imefanyika Usiku huu na hakuna Vigogo 

waliokutanishwa labda ile Mechi ya Timu za Ligi Kuu England, 

Liverpool v Swansea City.Mechi za Raundi hii zitachezwa Wiki ya 

kuanzia Oktoba 27.

CAPITAL_ONE_CUP-BEST









DROO YA RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16:
Man City v Crystal Palace au Newcastle
Fulham v Derby
Liverpool v Swansea
MK Dons v Sheffield United
Bournemouth v West Brom
Shrewsbury v Chelsea
Tottenham v Brighton
Stoke v Southampton

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top