Meneja wa Mancherster United Louis van Gaal amepata ushindi wa kwanza katika mechi ya kwanza katika uwanja wa OLD TRAFFORD lakini ni Marouane Fellaini ndie alieifungia Bao la ushindi likiwa Bao lake la kwanza tangu ajiunge Mwaka Jana wakati Manchester United ilipoichapa Valencia Bao 2-1.
Kipindi cha Kwanza, Rooney alikosa Penati baada ya kupiga na kugonga posti na Gemu ikaenda 0-0 hadi kwenye Mapumziko.
Kipindi cha Pili Darren Fletcher aliifungia Man United Bao la Kwanza na Valencia kusawazisha kwa Bao la Rodrigo.
Marouane Fellaini aliingizwa Kipindi cha Pili na kila alipogusa Mpira Mashabiki walikuwa wakimshangilia sana pengine kutokana na minong’ono kuwa yuko njiani kuhama.
MAGOLI:
Man United 2
-Darren Fletcher Dakika ya 49
-Marouane Fellaini 91
Valencia 1
-Rodrigo 71
Huku bango likiashiria Dakika imebaki Dakika moja na Sekunde kadhaa kupotea krosi ndefu ya ndani ya boksi ilimkuta Fellaini ndani ya boksi na kuiweka kifuani na kufunga kilaini.
VIKOSI:
MANCHESTER UNITED (Mfumo: 3-4-1-2): De Gea; Jones, Smalling, Blackett; Young, Fletcher, Herrera, Reece James; Mata; Rooney, Hernandez.
Akiba: Amos, Cleverley, Kagawa, Fellaini, Lingard, M Keane, Januzaj.
VALENCIA: (Mfumo: 4-4-2): Diego Alves, Barragan, Vezo, Otamendi, Gaya, Parejo, Javi Fuego, Gomes, Feghouli, Alcacer, Rodrigo
Akiba: Yoel, Piatti, Joao Pereira, De Paul, Guardado, Orban, Mustafi, Vinicius Araujo, Robert, Carles Gil, Domenech Jaume
REFA: JOHN MOSS

0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni