Thomas
Ulimwengu (kulia) akimkimbilia Mbwana Samata kushangilia goli la pili
baada ya kuifungia Stars wakati ikicheza dhidi ya Malawi
Mbwana
Samata (aliyepiga goti) akishangilia kwa kufuta kiatu cha Thomas
Ulimwengu baada ya kufunga goli la kwanza akipokea pasi toka kwa
Ulimwengu
Mrisho
Ngassa (kushoto) akiwania mpira na mchezaji wa Malawi wakati wa mchezo
kati ya Stars dhidi ya Malawi kuwania kukata tiketi ya kucheza fainali
za kombe la dunia mwaka 2018
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.