Kwamara ya kwanza Brendan Rodgers ameonekana hadharani baada ya kufukuzwa na Liverpool kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya Everton
Rodgers ameonekana leo akisafiri na ndege binafsi kuelekea nchini Spain huku akiambatana na mpenzi wake Charlotte Hind pamoja na binti yao wakike. Huku Mjeruman JJurgen Klopp akitajwa kuwa mithi wake
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni