LOGO

Mechi ya Simba na Mwadui FC yasogezwa
Klabu ya Simba inapenda kuwajulisha mechi yake ya kirafiki dhidi ya timu ya Mwadui FC ya Shinyanga imesogezwa mbele toka siku ya Jumapili hadi siku ya Jumatatu ya tarehe 24-8-2015.
Sababu ya kuisogeza mbele mechi hyo ni kuwapa fursa wapenzi wa mpira wa miguu kuhudhuria uzinduzi wa kampeni za vyama vya siasa ambazo zitazinduliwa siku hyo ya Jumapili tarehe 23-8-2015.
Tunawaomba radhi wapenzi wa kandanda nchini kwa usumbufu mtakaoupata kutokana na mabadiliko haya.

Imetolewa na Haji S.Manara
Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano ya klabu ya Simba
SIMBA NGUVU MOJA

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top