Man United walitawala Mechi yote na Wayne Rooney kufunga Bao ambalo Refa alilikataa kwa Ofsaidi na pia kupiga posti mara mbili.
Newcastle walipata nafasi ya wazi Kipindi cha Kwanza baada ya kichwa cha Mserbia Aleksander Mitrovic kupiga posti.
Manchester United:
Romero, Darmian (A Valencia, 77), Smalling, Blind, Shaw, Schneiderlin, Schweinsteiger (Carrick, 59), Mata, Januzaj (Hernández, 67), Memphis, Rooney
Akiba: Johnstone, McNair, Valencia, Carrick, Herrera, Young, Hernandez.
Newcastle United:
Krul; Mbemba, Coloccini, Taylor, Haidara, Anita, Colback, Obertan (Thauvin, 69), Wijnaldum, Perez (Tioté, 78), Mitrovic (Cissé, 88)
Akiba: Williamson, Cisse, De Jong, Aarons, Thauvin, Tiote, Darlow
REFA:Craig Pawson
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni