Manchester
United wametangaza Namba za Jezi kwa Wachezaji wao kwa ajili ya Msimu
mpya huku Kipa Victor Valdez akiwa hana Namba na Namba 2, 3 na 9 zikiwa
hazikupewa Mtu.
Ile Namba maarufu, Namba 7 ambayo imewahi kuvaliwa na Malejendari
wakubwa Klabuni hapo wakiwemo George Best, Bryan Robson, Eric Cantona na
David Beckham, ambayo Msimu uliopita aliivaa Angel Di Maria sasa
ataivaa Mchezaji mpya Memphis Depay.
Bastian Schweinsteiger amepewa Namba 31 aliyoitumia Klabu yake ya
zamani Bayern Munic na ambayo alikuwa akiitumia Marouane Fellaini ambae
sasa amepewa Namba 27 wakati Luke Shaw, aliekuwa Namba 3, amehamia
Namba 27.
Jezi Namba 2, 3 na 9 hazikupewa Mtu na inaaminika ni za wapya watakaoingia hivi karibuni.
MAN UNITED-NAMBA ZA KILA MCHEZAJI:
1 . De Gea
4 . Jones
5 . Marcos Rojo
6 . Evans
7 . Memphis
8 . Mata
10 . Rooney
11 . Januzaj
12 . Smalling
13 . Lindegaard
14 . Chicharito
16 . Carrick
17 . Blind
18 . Young
19 . Wilson
20 . Sergio Romero
21 . Ander Herrera
23 . Shaw
25 . Valencia
27 . Fellaini
28 . Schneiderlin
31 . Schweinsteiger
33 . McNair
35 . Lingard
36 . Darmian
42 . Blackett
44 . Pereira
50 . Johnstone.
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni