Hull City ndiyo Timu ambayo Arsenal waliichapa Mwezi Mei Mwaka Jana na kutwaa FA CUP.
Arsenal walifunga Bao lao la kwanza Dakika ya 20 na Per Mertesacker alipounganisha kwa Kichwa Kona na la pili kufungwa Dakika ya 82 na Alexis Sanchez alieingizwa Dakika ya 76 kumbadili Oxlade-Chamberlain.
Nao Chelsea, wakicheza kwao Stamford Bridge, waliichapa Watford, Timu ya Daraja la chini la Championship, Bao 3-0.
Bao za Chelsea zilifungwa zote Kipindi cha Pili na Willian, Loic Remy na Kurt Zouma.
Timu zilizosonga Raundi ya 4 ya FA CUP zitajua Wapinzani wao wa Raundi hiyo Jumatatu Usiku baada ya Droo.
PATA RATIBA/MATOKEO:
Ijumaa Januari 2
Cardiff 3 Colchester 1
Jumamosi Januari 3
Barnsley 0 Middlesbrough 2
Blyth Spartans 2 Birmingham City 3
Bolton 1 Wigan 0
Brentford 0 Brighton 2
Cambridge 2 Luton 1
Charlton 1 Blackburn 2
Derby 1 Southport 0
Doncaster 1 Bristol City 1
Huddersfield v Reading
Fulham 0 Wolves 0
Huddersfield 0 Reading 1
Leicester 1 Newcastle 0
Millwall 3 Bradford 3
Preston 2 Norwich 0
Rochdale 1 Nottm Forest 0
Rotherham 1 Bournemouth 5
Tranmere 2 Swansea 6
West Brom 7 Gateshead 0
Jumapili Januari 4
Dover 0 Crystal Palace 4
QPR 0 Sheffield United 3
Sunderland 1 Leeds 0
Aston Villa 1 Blackpool 0
Man City 2 Sheffield Wednesday 1
Southampton 1 Ipswich 1
Stoke 3 Wrexham 1
Yeovil 0 Man United 2
Chelsea 3 Watford 0
Arsenal 2 Hull 0
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni