Mashabiki
wa klabu ya Manchester United wameachwa midomo wazi juu ya mustakabli
wa mlinda mlango wao nmba moja David De Gea mara baada ya hii leo klabu
hiyo kutangaza kuwa imefikia makubaliano ya kumpatia mkataba wa miaka
miwili mlinda mlango wa zamani wa timu ya taifa ya Hispania na klabu ya
Barcelona
Victor Valdes.
Nyanda
huyo wa zamani wa klabu ya Barcelona alishindwa kupata timu ya
kuitumikia mara baada ya kuisha kwa mkataba wake kutokana na kuwa
majeruhi na hivyo mabosi wa Camp Nou kuamua kuachana naye moja kwa moja.
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni