LOGO

KOMBE la Mfalme wa Spain, Copa del Rey, Leo hii linaingia hatua ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 kwa kuchezwa Mechi mbili lakini leo Jumatano ndio mtanange wenyewe Uwanjani Vicente Calderon itakapopigwa Dabi ya Jiji la Madrid, maarufu kama El Derbi madrileƱo, kati ya Atletico Madrid na Real Madrid.
Real Madrid ndio Mabingwa Watetezi wa Kombe hili ambapo kwenye Fainali Mwezi Mei Mwaka Jana waliibwaga FC Barcelona.
Kwenye Raundi hii, Barcelona wao wataanza Nyumbani Nou Camp na mpinzani wao ni Elche.
Mechi za Copa del Rey huchezwa kwa mtindo wa nje ndani, yaani Nyumbani na Ugenini na Marudiano ya Raundi hii yataanza Januari 13.
RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16
RATIBA
Saa za Bongo Jumanne Januari 6       
1900 Celta de Vigo v Athletic de Bilbao
2100 Malaga CF v Levante
Jumatano Januari 7
2200 Villarreal CF v Real Sociedad
2300 Atletico de Madrid v Real Madrid CF
0001 Valencia C.F v RCD Espanyol
0001 UD Almeria v Getafe CF

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top