LOGO

 Klabu ya Simba leo imepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo uliochezwa leo kwenye uwanja wa Chamazi Jijini Dar es Salaam.

Simba ndio ilikuwa ya kwanza kupata bao lililofingwa na Saidi Ndemla katika kipindi cha kwanza lakini muda mfupi baadae mchezaji wa Zamani wa Simba Mussa Hassan Mgosi alisawazisha bao hilo na kufanya matokeo kuwa gili 1-1
 Walikuwa ni Ame Ally, Mohammedi Ibrahim walioimaliza Simba huku bao la Simba likifungwa na Mrundi Khamis Tambwe kwa mkwaju wa penalty mpaka dakika 90 ya mchezo Simba 2 Mtibwa Sugar 4
Simba inajiandaa na mchezo wa Nani Mtani Jembe utakaofanyika wikiend ijayo

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top