LOGO

DSC_7114
Simba SC hii leo wa,etoka suluhu ya bila kufungana na Express ya Uganda katika mchezo wa kujiandaaa na mchezo wa Mtani wa jadi 2 dhidi ya yanga ambao nao kesho watajipima na dhidi ya Express ya Uganda. Simba na anga wanatarajiwa kukutana desemba 13 katika mchezo wa mtani jembe 2, ikumbukwe mtani jembe 1 Simba SC iliibuka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Yanga mchezo uliochezwa mwishoni mwa mwaka jana katika uwanja wa Taifa. Kikosi cha Simba SC leo kilikuwa; Peter Manyika, Nassor Masoud ‘Chollo’, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’/Issa Rashid ‘Baba Ubaya’ dk30, Abdul Makame, Hassan Isihaka, Pierre Kwizera, Awadh Juma, Abdallah Seseme/Omar Mboob dk76, Elias Maguri/Amisi Tambwe dk46, Shaaban Kisiga ‘Malone’/Ibrahim Hajibu dk87 na Ramadhani Singano ‘Messi’/Twaha Ibrahim ‘Messi’ dk87.

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top