CHELSEA leo imekumbana na kichapo kikali toka kwa Newcastle mara baada ya kutandikwa bao 2-1 katika mchezo ambao ulikuwa mkali dakika zote 90.
nyota wa mchezo huo ni Papiss Cisse ambaye amefunga bao zote mbili ambapo bao la kwanza ilipasia dakika ya 57 kabla ya kurudi kimiani tena dakika ya 78,kwa upande wa chelsea bao lao limefungwa na Drogba dakika ya 83 chelsea walijaribu kusawazisha lakini ngome ngumu ya Newcastle ilizuia mashambulizi yote mpaka dakika 90 zinakamilika Newcastle 2 Chelsea 1
Chelsea iliyokuwa imecheza michezo 23 bila kufungwa msimu huu imejikuta ikipoteza mchezo huo ugenini St James Park
VIKOSI
Newcastle United (4-3-3): Rob Elliot (Jak Alnwick 46); Daryl Janmaat, Steven Taylor, Fabricio Coloccini (c), Paul Dummett; Moussa Sissoko, Cheick Tiote, Jack Colback; Remy Cabella (Papiss Cisse 53), Ayoze Perez, Sammy Ameobi (Mike Williamson 82)
Subs not used: Massadio Haidara, Vurnon Anita, Yoan Gouffran, Emmanuel Riviere
Chelsea (4-2-3-1): Thibaut Courtois; Branislav Ivanovic, Gary Cahill, John Terry (c), Cesar Azpilicueta (Filipe Luis 67); John Obi Mikel, Cesc Fabregas; Willian (Didier Drogba 67), Oscar (Andre Schurrle 60), Eden Hazard; Diego Costa
Subs not used: Petr Cech, Kurt Zouma, Ramires, Loic Remy
Referee: Martin Atkinson (Yorkshire)
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni