LOGO

 simba
Baada ya kukubali kufungwa goli 4-2 na vinara wa ligi kuu ya vodacom Mtibwa sugar, Simba SC wameelekea visiwani Zanzibar kwa ajili ya maandalizi na mchezo dhidi ya yanga katika mtani Jembe 2. Simba SC wamewasili jioni ya leo visiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi ya siku nne ya kujiandaa na mchezo wao dhidi ya yanga utakao chezwa desemba 13 mwaka huu, ikiwa ni maadhimisho ya mtani jembe 2. Wakati kikosi cha simba SC kikiwa visiwani Zanzibar, uongozi wa timu hiyo umeweka baana ya kutokuwa na nia ya kumuongeza katika kikosi chao Mgambia Omary Mboob. Mwenyekiti wa kamati ya usajili wa Simba Zacharia Hanse Pope ametabainisha kuwa hawana mpango wa kumsajili katika dirisha hili la usajili kutokana na kuwa na viungo wengi katika timu yao. Pope alisema kuwa wataangalia uwezekano wa kumsajili katika dirisha lijalo la usajili kama wataitaji huduma yake wakati huo. Wakati wakiachana na Mboob Pope amebainisha kuwa Simba SC wako mbioni vile vile kumsajili beki wa FC lupopo ya Kenya David Owino, na wakti wowote ata tuwa nchini.

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top