![]() |
| Afuzu vipimo vya Afya angoja mkataba toka kwa yanga (picha toka kwa Bin Zubeiry) |
Sherman aliwasili nchini jana alasiri akitokea Cyprus na leo akafanyiwa vipimo vya afya ambapo majibu yanaonyesha kuwa hana tatizo lolote litakalo muuwezesha kutoweza kucheza mpira.
Kwa mujibu wa taarifa tuliyo nayo yanga wanatarajiwa kumpatia mkataba wa mwaka mmoja kama mazungumzo ya mwisho yakiwafikana ambapo, yanga itawabidi wampunguze mchezaji mmoja wa kigeni ili kuendana na sheria za ligi kuu ya vodacom ambapo inahitaji wachezaji wa tano wa kigeni

0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni