Manchester United leo imetoa picha kamili ya kikosi watakacho kitumia msimu huu wwakiwa na kocha wao mpya Louis Van Gaal pamoja na benchi lake la ufundi na wachezaji wa wapya waliowasajili kama Blind, Rojo, Falcao,Di Maria na wengineo
PICHA YA MSIMU HUU
SAFU YA NYUMA: Jonny Evans, Marouane Fellaini, Chris Smalling, Tyler Blackett, Marcos Rojo*, Phil Jones
SAFU YA TATU: Antonio Valencia, Anderson, Daley Blind*, Robin van Persie, Michael Carrick, James Wilson, Andreas Pereira, Ashley Young
SAFU YA PILI: Gary
Walker*, Marcel Bout*, Dr Steve McNally, Luke Shaw*, Ben Amos, Dave De
Gea, Anders Lindegaard, Angel di Maria*, Frans Hoek*, Alec Wylie, Neil
Hough
SAFU YA MBELE: Rafael,
Ander Herrera*, Radamel Falcao*, Albert Stuivenberg*, Wayne Rooney,
Louis van Gaal*, Darren Fletcher, Ryan Giggs, Juan Mata, Adnan Januzaj,
Jesse Lingard
PICHA YA MWAKA JANA CHINI YA MOYES
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni