LOGO


suge_f8f3b.jpg
Mkurugenzi wa zamani wa kampuni ya muziki ya Deathrow ya Marekani, Suge Knight anaripotiwa kufanyiwa upasuaji hospitali kufuatia kupigwa risasi katika sherehe isiyo rasmi ya tuzo za video bora za MTV.
Suge Knight inadaiwa alipigwa risasi kadhaa mapema siku ya Jumapili (Agosti 24), akiwa West Hollywood nightspot 1 Oak. Knight aliweza kuondoka huku akitembea mwenyewe katika sherehe hiyo iliyoandaliwa na Chris Brown, kabla ya polisi kumsaidia, kwa mujibu wa tovuti ya TMZ.(E.L)

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top