LOGO

Africa Cup of Nations
Michuano ya kombe la Africa maarufu kama Africa Cup of Nations inayotarajiwa kutimua vumbi nchini Sierra Leone ,ambayo itachuana na Ivory Coast itaendelea kama ilivyo pangwa japokua kuna tishio la ugonjwa wa Ebola.
Shirikisho la mpira wa Miguu nchini Sierra Leone limejinasibu kutaja kikosi chake kitakacho menyana na Ivory coast na kuelezea kua orodha hiyo itakua imejaa chezaji kutoka ng'ambo.Ivory coast ime tahadharisha kwa kusema kwamba michuano hiyo haitapangwa kufanyika katika mji mkuu wa nchi huiyo Abidjan,kwa kuhofia maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Ebola.
Japokua haijatangwa eneo mbadala na hatari inayotishia michuano hiyo, huko Nigeria,mjane wa daktari wa sita kukumbwa na ugonjwa wa Ebola naye ameambukizwa virusi vya ugonjwa huo.taarifa nyingine zinaeleza kwamba madaktari watatu wamepelekwa katika kituo cha utafiti na ufuatiliaji ugonjwa wa Ebola japokua hawajathibitika kuambukizwa ugonjwa huo.

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top