Sylvester Stallone ametangaza rasmi ujio wa filamu ya “Rambo 5″ ikiwa
ni muendelezo wa filamuza rambo zilizoanza kutengenezwa mwaka 1982.
Filamu hii itaitwa “Rambo: Last Blood”.
Baada ya Stallone kumaliza na “Rambo: Last Blood” atanza kufanya filamu ya “Scarpa” itakayozungumzia maisha ya Greg Scarpa,ambaye alikuwa muuwaji wa familia ya wahalifu iliyoitwa Grim Reaper.
Baada ya Stallone kumaliza na “Rambo: Last Blood” atanza kufanya filamu ya “Scarpa” itakayozungumzia maisha ya Greg Scarpa,ambaye alikuwa muuwaji wa familia ya wahalifu iliyoitwa Grim Reaper.
Imeripotiwa kuwa Stallone anampango wa kurudisha filamu za “Rocky” itakayoitwa “Creed”.
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni