LOGO

 The Atletico defender heads home from a set piece in the second half to take a two goal advantage to the Bernabeu
Atletico Madrid imefanikiwa kuichapa Real Madrid kwa jumla ya magoli 2-0 katika mchezo wa kuwania kombe la mfalme Copa Del Rey kwa raundi ya kwanza kwenye hata ya 16 bora katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid Hispania
Atletico Madrid walijipatia bao la kwanza 58 kwa mkwaju wa penalty kupitia kwa Raul Garcia katika dakika ya ya kipindi cha pili Atletico iliyochagizwa na urejeo wa nyota wake wa Zamani Fernando Torres ambapo alionesha kiwango kizuri.
Real Madrid ilimpumzisha nyota wake Cristiano Ronaldo alieripotiwa kuwa na maumivu ya kifundo cha mguu ambae aliingia baadae kuongeza nguvu lakini hawakufanikiwa kusawazisha goli hilo.
Katika dakika ya 76 ya mchezo Jose Gimenez aliihakikishia Atletico Madrid ushindi kwa kuzamisha goli la pili ambalo lilidumu mpaka dakika 90 zinakatika na Clabu ya Atletico Madrid kuibuka na ushindi nyumbani wa magoli 2-0 dhidi ya mahasimu wa Real Maddrid 

Jose Gimenez celebrates his goal as Atletico Madrid defeat Real 2-0 in the first leg of their last 16 Copa del Rey clash

VIKOSI
Atletico Madrid (4-4-2): Oblak; Gamez, Godin, Gimenez, Lucas; Mario, Gabi, Saul (Turan), Raul Garcia; Griezmann (Mandzukic), Torres (Koke).  
Goal: Garcia 58', Gimenez 76
Subs: Moyá Rumbo, Tiago, Jiménez, Juanfran
Booked: Gamez, Godin, Garcia, Gabi, Griezmann, Mandzukic

Real Madrid (4-2-3-1): Navas; Arbeloa (Carvajal), Varane, Ramos, Marcelo; Kroos, Khedira; Bale, Isco, James (Ronaldo); Benzema (Jesé).
Subs: Casillas, Coentrão, Nacho, Illarramendi 
Booked: Marcelo, Khedira, Ramos, Carvajal 
Ref: Carlos Clos Gómez
Att: 46,800
Atletico Madrid midfielder Raul Garcia (right) wheels away after opening the scoring with a second half penalty

Garcia strokes home his penalty after being brought down by Real Madrid captain Sergio Ramos in the box

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top