LOGO

 Samir Nasri scored in the second half at the Stadio Olimpico as Manchester City secured their place in the Champions League last 16
Klabu ya Manchester City ya England ilibidi isubiri hadi mechi ya misho ya makundi ili kujua hatima yao hiyo imekuja baada ya kutoanza vizuri ligi hiyo ya mabingwa barani ulaya.
Ushindi dhidi ya AS Roma ya Italia katika uwanja wa Olympico uliipitisha timu hiyo ya Etihadi kupita katika hatua ya 16 bora kwa kuichapa jumla ya magoli 2-0 huku Man city ikimkosa Mshambuliaji mahiri Sergio Aguero kwa tatizo la majeruhi.
Nasri fired in from long range in the 60th minute at the Olimpico as City secured a victory that sent them into the knockout stagesMfaransa Samir Nasri ndie alikuwa wa kwanza kuandika bao katika mchezo huo kwa upande wa Man City katika dakika ya 60 ya Mchezo uliokuwa na upinzani mkubwa huku kila timu ikitaka ushindi ili isonge mbele.
Man City walionekana kuwa na bahati au walichanga vizuri karata zao baada ya beki Pablo Zabaleta kuifungia Man City bao la pili katika dakika ya 87 na kuihakikishia City ushindi huo ugenini
Kwa ushindi huo City wamefikisha Point 8 na kushika nafasi ya Pili nyuma ya vinara Bayarn Munich wenye point 15 hivyo AS Roma watacheza Michuano ya Europa kwa kushika nafasi ya 3
City celebrated Nasri's goal in front of their travelling fans packed into one corner of the stadium in Rome


Manchester City's Brazilian midfielder Fernandinho is on the receiving end of a slide tackle from Roma's Radja Nianggolan

Dzeko and Roma defender Mapou Yanga-Mbiwa, who is on loan from Newcastle, are involved in a heated exchange

Manchester City goalkeeper Joe Hart picks up an object that is thrown in his direction from the crowd
Manchester City goalkeeper Joe Hart picks up an object that is thrown in his direction from the crowd

Manchester City captain Vincent Kompany watches from the stands after missing the game through injury

Manchester City's travelling contingent of around 1,500 supporters for the crucial Champions League contest

Roma supporters provided a hostile and intimidating backdrop for the game at the Olimpico

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top