Klabu ya Livrpool imetupwa nje ya mashindano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE na itashiriki michuani ya EUROPA baada ya kutoka sare na na timu ta FC Basel ya Uswis katika mchezo wa kuhutimisha mechi za makundi mchezo huo ulichezwa kwenye uwanja wa Anfield nchini England.
Fabian Frei aliipatia timu bao la kuongoza katika dakika ya 25 ya mchezo huo na kusababisha matoke kusomeka Liverpool 0-1 FCBasel. Liverpool ilijitutumua na kufanikiwa kusawazisha bao hili kwa nahodha Steven Gerrard katika dakika 80 lakini bao hilo halikutosha kuivusha timu hiyo raundi ya 16 kwani walihitaji ushindi wa aina yeyote ule ili wafuzu.
Sasa Liverpool itashiriki michuano ya Europa kutokana na kushika nafasi ya 3 ikiwa na point 5
VIKOSI
Liverpool (4-2-3-1):
Mignolet 6; Johnson 5.5, Lovren 6, Skrtel 6.5, Jose Enrique 4 (Moreno
45, 5); Allen 5.5, Lucas 5.5 (Coutinho 74); Henderson 5, Gerrard 7,
Sterling 5.5; Lambert 5.5 (Markovic 45, 5).
Subs not used: Jones, Sakho, Lallana, Can.
Goal: Gerrard 80.
Manager: Brendan Rodgers, 5.5
Basle: Vaclik
6.5; Schar 6, Suchy 6.5, Safari 5.5; Elneny 6 (Diaz 83), Frei 7; Xhaka
7, Zuffi 7.5 (Samuel 88), Gashi 6; Gonzalez 6, Streller 6 (Embolo 74).
Subs not used: Vailati, Degen, Delgado, Hamoudi.
Goal: Frei 25.
Manager: Paulo Sousa, 6.5.
Referee: Bjorn Kuipers (Holland) 6.
Attendance: 43,290.
Man of the Match: Luca Zuffi.
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni