LOGO

Van Persie (front) scored the decisive goal for United in the 71st minute following a Wayne Rooney free-kick
Klabu ya Manchester united imeendeleza wimbi la ushindi katika michezo ya ligi kuu kwa kuichapa timu ngumu ya Southampton jumla ya magoli 2-1 katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa St Marys majira ya saa 5 usiku kwa saa za Tanzania.
Ingawa Man united haikucheza katika kiwango kikubwa ila ilifanikiwa kudhibiti mashambulizi ya Southampton kwa muda wote wa mchezo huku beki Chris Smalling akipata majeraha na kutolewa na nafasi kuchukuliwa na Jonny Evans.
 The 31-year-old is mobbed by his United team-mates as they celebrate his strike in front of the travelling away supporters
Mholanzi Robin Van Persie ndie alieipa uongozi Man united kwa kufunga goli la kwanza katika dakika ya 12 kufuatia makosa beki wa Southampton Jose Fonte na kufanya matokeo Southampton 1 Man united 1. Southampton walijaribu kusawazisha bila mafanikio lakini katika dakika ya 31 Mshambuliaji Graziano Pelle aliisawazishia Southampton na kufanya matokeo kusomeka 1-1 hadi mapumziko.
Katika kipindi cha pili Man united ilionekana kuzidiwa na wenyeji ambapo Southampton walikosa nafasi nyingi za wazi huku goli kipa wa Man united akiokoa michomo mingi golini kwake.
 
Katika dakika 71 Robin Van Persie tena anaihakikishia ushindi na point 3 muhimu timu yake ya Man united kwa kuifungia bao la pili na ushindi kufuatia mpira wa faulo uliopigwa na Wayne Rooney.
Soutampton walijaribu kurudisha bila Mafanikio na mpaka dakika 90 zinakamilika Man united ilmeibuka ushindi wa magoli 2-1 na ushindi unakuwa ni ushindi wa 5 mfululizo ukiwa weka hadi nafasi ya 3 huku Southampton wao wakipoteza mechi 3 mfululizo na kuambulia nafasi ya 5
Van Persie (top) read and intercepted Fonte's attempted pass to Forster (bottom) before nutmegging the Southampton goalkeeper
VIKOSI
Southampton: Forster, Clyne, Fonte, Yoshida, Bertrand, Steven Davis, Wanyama, Long, Tadic, Mane, Pelle. 
Subs: Kelvin Davis, Gardos, Mayuka, Isgrove, Reed, Targett, Hesketh.
Goal: Pelle 31

Man Utd: De Gea, McNair, Smalling, Rojo, Carrick, Valencia, Fellaini, Mata, Young, van Persie, Rooney.
Subs: Evans, Falcao, Januzaj, Lindegaard, Ander Herrera, Fletcher, Wilson.
Goals: Van Persie 12, 71
Referee: Kevin Friend (Leicestershire)

Van Persie (right) watches on as his shot is destined for the bottom corner of Southampton's empty net

United captain Wayne Rooney (centre) and Ashley Young (left) are the first to congratulate Van Persie on his strike

Van Persie (centre left) also celebrates his goal with a hug from young defender Paddy McNair (second left)

United were forced into an early defensive change when Chris Smalling (left) pulled a thigh injury

Smalling (left) had to be helped off the field by a United physio midway through the first half at St Mary's

Graziano Pelle (second left) soon brought Southampton on level terms when he rifled home their equaliser in the 31st minute


The Italy international celebrates his strike in front of a jubilant home crowd at St. Mary's on Monday night

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top