UEFA CHAMPIONS LEAGUE MAN CITY YATANDIKWA NA MCHEZAJI WAO WA ZAMANI HUKO UJERUMANI WAKIIKABILI BAYERN MUNICH CHELSEA WASULUHU NA SCHALKE 04 NYUMBBANI BARCELONA USHINNDI MWEMBAMBA
MATOKEO:
Jumatano Septemba 17
KUNDI E
Bayern Munich 1 Man City 0
AS Roma 5 CSKA Moscow 1
KUNDI F
Ajax 1 Paris St-Germain 1
Barcelona 1 APOEL Nicosia 0
KUNDI G
Chelsea 1 FC Schalke 1
NK Maribor 1 Sporting Lisbon 1
KUNDI H
Athletic Bilbao 0 Shakhtar Donetsk 0
FC Porto 6 BATE Borisov 0
NDANI ya Allianz Arena Jijini Munich, Wenyeji Mabingwa wa Germany Bayern Munich walicheza Mechi yao ya kwanza ya Kundi E la UEFA CHAMPIONZ LIGI na Mabingwa wa England Manchester City na matokeo ni ushindi kwa Bayern wa Bao 1-0.
Hadi Mapumziko Bao ni 0-0.
Bao pekee na la ushindi kwa Bayern Munich lilifungwa na Beki Jerome Boateng katika Dakika ya 89 kwa Shuti kali toka Mita 15 kufuatia Krosi ya Nahodha Philipp Lahm.
VIKOSI:
BAYERN MUNICH: Neuer; Rafinha, Benatia, Boateng, Bernat; Lahm, Alonso, Alaba; Gotze, Muller, Lewandowski.
Akiba: Dante, Robben, Shaqiri, Pizarro, Rode, Reina, Höjbjerg
MAN CITY: Hart, Sagna, Demichelis, Kompany, Clichy; Fernandinho, Toure; Navas, Silva, Nasri, Dzeko
Akiba: Milner, Kolarov, Caballero, Agüero, Lampard, Mangala, Boyata
REFA: Alberto Undiano Mallenco [Spain]
CHELSEA v FC SCHALK3 04
VIKOSI:
CHELSEA: Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Filipe Luis, Matic, Fabregas, Ramires, Willian, Hazard, Drogba
Akiba: Cech, Zouma, Azpilicueta, Mikel, Oscar, Remy, Diego Costa
FC SCHALK3 04: Fahrmann, Hoger, Ayhan, Neustadter, Fuchs, Boateng, Aogo, Sam, Meyer, Draxler, Huntelaar
Akiba: Wetklo, Friedrich, Clemens, Choupo-Moting, Obasi, Barnetta, Avdijaj
REFA: Ivan Bebek [Croatia]
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni