LOGO

TFF Mwesigwa
Mchezo wa ngao ya jamii kuashiria kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu utachezwa jumapili tarehe 14-09-2014 katika uwanja wa taifa Dar es salaam. Mchezo wa mwaka huu utazi kutanisha timu ya Yanga na Azam zaote za Dar es salaam
Mchezo huo utaambatana na shughuli za kijamii kama uchangiaji damu na maonyesho ya shughuli za wadau na maendeleo ya jamii Shirikisho la soka Tanzania (TFF) hutoa sehemu ya mapato ya mchezo huu kwa shirika/shughuli ya kijamii iliyochaguliwa kwa mwaka husika.

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top